
Huyu Ndio Imam Shoga, Anaitwa Imam Daayiee Abdullah Amezaliwa Detroit
Huko Michigan Nchini Marekani, Amezaliwa Ktk Ukristo Na Alibadili Dini
Na Kuwa Muislam Alipokuwa Umri Wa Miaka 33 Nchini China Kimasomo, Imam
Daayiee Abdullah Anasema Amepata Kwenda Kucoma Uislam Nchini Ya Misri,
Jordan Na Syria, Anaongoza Msikiti Uitwao Masjid An-nur Al-isslaah
Ambapo Ktk Msikiti Huo Wanaume Na Wanawake Wanaswali Safu Moja, Na Ktk
Msikiti Huo Mwanamke Anakimu Swala, Anaadhini Na Kuongoza
Sala, Anasema Hakuna Mwenye Haki Ya Kumuhukumu Yoyote Ila Allah Swt,
Ameenda Mbali Alipocema Mtu Kuamua Kuwa Shoga Ni Hiari Yake
Asisumbuliwe. Kwa Mara Ya Kwanza Aliongoza Sala Ya Kuwaswalia Mashoga
Waliokufa Kwa Maradhi Ya Ukimwi, Waislamu Woote Waligoma Kuosha Maiti Za
Mashoga Hao, Kuwaswalia Na Kuwazika, Ila Yeye Aliongoza Kila Kitu Na
Baada Ya Kuwazika Wale Mashoga, Akasema Allah Swt Awajaalie Firdaus
Jannat. EWE MUISLAM ZINDUKA HIZI NI NJAMA ZA MAKAFIRI KUUDHALILISHA
UISLAM. TENDO LA LIWATI LINAKUTOA KTK UISLAM. TAFAKARI CHUKUA ATUA
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment