HIVI NDIVYO ANSWAR-SUN WALIVYOSWALI IDD EID FITRI JANGWANI DAR ES SALAAM LEO

 Amiri wa Jumuiya ya Answari Suna Tanzania, Shekh. Juma Omari Poli (kulia), akiswalisha Swala ya Iddi katika viwanja hivyo.
 Shekh Hamid Abdallah, akitoa mawaidha wakati wa ibada ya Swala ya Idi katika Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam leo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiwa kwenye ibada hiyo.
 Waumini wa madhehebu ya Anwar-Suni wakiswali katika viwanja hivyo.
Swala ikiendelea.
Share on Google Plus

About mfaume

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment